MUZIKI sio tu burudani, bali pia ni sehemu ya maisha ya kila siku ya wasanii. Mistari inayoandikwa na wasanii mara nyingi hutokana na maisha yao halisi.